Mtaalam na mkufunzi wa masuala ya amani ya mtu
binafsi kwa njia ya kutafakari kutoka taasisi ya Art of Living, Chandrika
Magaraja akitoa maelezo juu ya amani ya mtu binafsi inavyoweza kupatikana kwa
kutafakari wakati wa kushiriki Mafunzo
hayo yalifanyika jana kwa njia ya video na kufanyika kwa wakati mmoja kwa nchi
22 za Afrika na yaliongozwa na Kiongozi wa Art of Living Duniani ambaye pia ni
Balozi wa Amani Sri Sri Ravi Shankar ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya siku ya Umoja wa
Afrika (AU).
Baadhi ya wakazi wa Dar es Salaam walioshiriki
katika katika kutafakari ambayo ni
njia bora na yapekee ya kuleta amani ya mtu binafsi. Mafunzo hayo yalifanyika
jana kwa njia ya video na kufanyika kwa wakati mmoja kwa nchi 22 za Afrika na
yaliongozwa na Kiongozi wa Art of Living Duniani ambaye pia ni Balozi wa Amani Sri Sri Ravi Shankar ikiwa
ni sehemu ya maadhimisho ya siku ya Umoja wa Afrika (AU).
Balozi wa Jamhuri ya Djbout nchini Tanzania,
Saidi Amin Shamo (kushoto) na Balozi
wa India hapa nchini, Debnath Shaw wakishiriki katika kutafakari ambayo ni njia
bora na yapekee ya kuleta amani ya mtu binafsi. Mafunzo hayo yalifanyika jana
kwa njia ya video na kufanyika kwa wakati mmoja kwa nchi 22 za Afrika na
yaliongozwa na Kiongozi wa Art of Living Duniani ambaye pia ni Balozi wa Amani Sri Sri Ravi Shankar ikiwa
ni sehemu ya maadhimisho ya siku ya Umoja wa Afrika (AU).
Balozi wa Jamhuri ya Djbout nchini Tanzania,
Saidi Amin Shamo (kushoto) Balozi
wa India hapa nchini, Debnath Shaw (katikati) na Mwakilishi na Mtaalam na
mkufunzi wa masuala ya Kutafakari kutoka Taasisi ya Art of Living, Chandrika
Magaraja wakishiriki katika kutafakari ambayo ni njia bora na yapekee ya kuleta
amani ya mtu binafsi. Mafunzo hayo yalifanyika jana kwa njia ya video na
kufanyika kwa wakati mmoja kwa nchi 22 za Afrika na yaliongozwa na Kiongozi wa
Art of Living Duniani ambaye pia ni Balozi wa Amani Sri Sri Ravi Shankar ikiwa
ni sehemu ya maadhimisho ya siku ya Umoja wa Afrika (AU).
Wageni maalum katika mafunzo maalum ya ya amani
ya Mtu bianfsi kwa njia ya kutafakari kutoka kulia Mwakilishi na Mtaalam na mkufunzi wa masuala ya
Kutafakari kutoka Taasisi ya Art of Living, Chandrika Magaraja, Balozi wa India hapa nchini, Debnath Shaw, Balozi
wa Jamhuri ya Djbout nchini, Saidi Amin Shamo, Mke wa Balozi Shamo, Mariam
Shamo, Mke wa Mkurugenzi wa Kampuni ya Bia Serengeti (SBL) Theresa Gannon na
Mkurugenzi wa SBL, Steven Gannon, wakishiriki katika kutafakari ambayo ni njia bora na
yapekee ya kuleta amani ya mtu binafsi. Mafunzo hayo yalifanyika jana kwa njia
ya video na kufanyika kwa wakati mmoja kwa nchi 22 za Afrika na yaliongozwa na
Kiongozi wa Art of Living Duniani ambaye pia ni Balozi wa Amani Sri Sri Ravi Shankar ikiwa
ni sehemu ya maadhimisho ya siku ya Umoja wa Afrika (AU).
No comments:
Post a Comment