Tangazo

July 31, 2013

Airtel Tanzania yala futari na wateja wake jijini Dar

Mkurugenzi Mtendaji wa Airtel Tanzania, Sunil Colaso (kushoto), akimkaribisha Ofisa Mkuu wa Fedha wa Benki ya NMB, Waziri Barnabas katika hafla ya futari iliyoandaliwa na Airtel kwa wateja wao jijini Dar es Salaam.

Mkurugenzi Mtendaji wa Airtel Tanzania, Sunil Colaso (wa pili kushoto) akiwakaribisha baadhi  ya wateja wao katika hafla ya futari iliyoandaliwa na kampuni hiyo jijini Dar es Salaam jana. Kushoto ni Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Airtel, Beatrice Singano Mallya.

Baadhi ya wateja wa kampuni ya simu za mkononi ya Airtel Tanzania wakichukua mlo wa futari iliyoandaliwa na kampuni hiyo jijini Dar es Salaamu juzi.


Wateja wa Airtel Tanzania wakichukua mlo wa futari iliyoandaliwa na kampuni hiyo jijini Dar se Salaam juzi.

Mhariri Mtendaji Mkuu wa Mwananchi Communications, Bakari Machumu (wa pili kulia) na Mkurugenzi Mtendaji wa Airtel Tanzania, Sunil Kolaso (kulia kwake) wakichukua mlo wa futari iliyoandaliwa na Airtel
kwa wateja wake jijini Dar es Salaam juzi.

Mkurugenzi wa Kampuni ya Azam, Said Salim Bakhresa (wa pili kushoto),  akichukua mlo wa futari pamoja na baadhi ya wateja wa Airtel katika hafla iliyoandaliwa na kampuni hiyo kwa wateja wake jijini Dar es Salaam.

Baadhi ya wateja wa kampuni ya simu za mkononi ya Airtel Tanzania wakifuturu katika hafla iiliyoandaliwa na kampuni hiyo jijini Dar es Salaamu.

No comments: