Tangazo

July 18, 2013

Dk. Bilal arejea toka Abuja Nigeria


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Mohammed Gharib Bilal, akiwasili kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere Dar es salaam akitokea nchini Nigeria alikohudhuria Mkutano wa Umoja wa Afrika uliojadili mbinu za kukabiliana na Ukimwi, Malaria na kifua kikuu ambapo aliwaambia wajumbe wa mkutano huo kuwa Tanzania itafikia malengo ya Umoja wa Afrika iliyojiwekea katika kukabiliana na Magonjwa hayo, mkutano huo ulimalizika jana July 17-2013 mjini Abuja Nchini Nigeria (Picha na OMR)

No comments: