Tangazo

July 21, 2013

Mamia wajitokeza mazishi ya David Majebelle

 Baadhi ya waombolezaji wakiwa nyumbani kwa aliyekuwa mwandishi mkongwe.
 Baadhi ya wanafamilia weakiwa nyumbani kwa marehemu. 
Waombolezaji.
 Mwili wa marehemu David majebelle ukiwasili nyumbani kwake Sinza jijini Dar es Salaam.
 Wanafamilia.
 Wanafamilia.
 Wanafamilia.
 Jeneza lililokuwa na mwili wa marehemu David Majebelle likiwa nyumbani kwake Sinza jijini Dar es Salaam wakati wa ibada.
 Wanafamilia.
 Kutoa heshima za mwisho.
 Kanisani.
 Ibada ya kumuimbea marehemu David Majebelle ikiendelea kanisani.
 Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi.
 Baadhi ya wanahabari, ndugu jamaa na marafiki wakitoa heshima za mwisho.
 Mbunge wa Ubungo John Mnyika akitoa heshima za mwisho.
 Familia ya marehemu David Majebelle.
Baadhi ya waombolezaji wakiwa wamebeba jeneza lililokuwa na mwili wa marehemu\ David majebelle ambaye alikuwa mwandishi wa habari mkongwe.
 Jeneza lililokuwa na mwili wa marehemu David Majebelle ukishushwa kaburini.
 Wanafamilia wakiwa na huzuni.
Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara), Philip Mangula (kushoto), akiweka shada la maua kwenye kaburi la marehemu David Michael Majebele, wakati wa mazishi yake yaliyofanyika kwenye makaburi ya Kinodoni jijini Dar es Salaam jana. Marehemu Majebele ambaye ni mwanahabari mkongwe alifariki Jumapili iliyopita. 
Familia ya marehemu David Michael Majebele, wakiweka mashada ya maua katika kaburi, wakati wa mazishi yake yaliyofanyika kwenye makaburi ya Kinodnoni jijini Dar es Salaam jana. Marehemu Majebele ambaye ni mwanahabari mkongwe alifariki Jumapili iliyopita. 

No comments: