Tangazo

September 5, 2013

BUNGE LAGEUKA UWANJA WA MAPAMBANO

Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akijibu maswali Bungeni mjini Dodoma  Septemba 5, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, William Lukuvi akiteta na Mwanaheria  Mkuu wa Serikali, Frederick Werema, bungeni Mjini Dodoma Septemba 5, 2013.

 Naibu Spika wa Bunge Job Ndugai akimwamuru Kiongozi wa Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe kukaa chini, Bungeni Mjini Dodoma Septemba 5, 2013. 

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, William Lukuvi  akifafanua jambo Bungeni Mjini Dodoma Septemba 5, 2013.
  Wabunge wa Chadema wakiwa wamesimama kukaidi amri ya Naibu spika, Job Ndugai ya kuwataka wakae chini , Bungeni Septemba 5, 2013. 
 Mwanasheria Mkuu, wa Serikali, Jaji Frederick Werema akifafanua jambo, Bungeni Mjini Dodoma Septemba 5, 2013. 

  Wabunge wa CHADEMA wakipambana na Polisi, Bungeni Mjini Dodoma Septemba 5,2013. 
Mbunge wa Kuteuliwa na Mwenyekiti wa NCCR_MAGEUZI, James Mbatia akisahangaa kuona mapambano kati ya wabunge wa CHADEMA na Polisi Bungeni Septemba 5, 2013. 


 Mbunge wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi akiwa ameng'ang'ania  Migrophone ya sehemu ya Kuzungumzia wapinzani Bungeni wakati polisi walipokuwa wakimtoa Bungeni Mjini Dodoma Septemba  5, 2013. Hata hivyo Microphone hiyo iling'oka  na polisi wakafaikiwa kumtoa nje. 
Mbunge  wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi akitolewa  na Askari Polisi nje ya ukumbi wa Bunge mjini Dodoma   Septemba 5, 2013.



Kiongozi wa Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe akiongoza wabunge wa CHADEMA kutoka Bungeni mjini Dodoma baada ya kuamriwa kufanya  hivyo na Naibu Spika wa  Bunge, Job Ndugai Septemba 5, 2013.
 Mbunge wa Mbeya Mjini  akizuiwa na wabunge  wa CHADEMA ili asiambane na polisi, Bungeni Mjini Dodoma Septemba 5, 2013.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa Bondia Francis Cheka  (katikati) na mkewe Tosha Azenga kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Septemba 5,2013

No comments: