Tangazo

September 17, 2013

PINDA NA KUTANA NA BALOZI WA CHINA NCHINI NA VIONGOZI WA KAMPUNI YA HUWAWEI

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akisikiliza maelezo kuhusu picha ya watawala wa asili wa China kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Huwawei Technologies nchini, Bw. Bruce Zhanga  na Mkurugenzi Mkuu wa kambuni hiyo, Bw. Kenneth Luo (kulia) katika mazungumzo yaliyofanyika Ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam Septemba 17, 2013. (picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa na Balozi wa China nchini,  Lu Youqing  kabla ya mazungumzo yao, Ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaaam Septemba 17, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akizungumza na Balozi wa China nchini, Bw. Lu  Youqing  (kushoto kwake) na ujumbe wake , Ofisini kwake jijini Dar es salaam Septemba 17, 2013. Kulia kwake ni Balozi wa Tanzania nchini China, Abdulrahman Shimbo. (Picha na Ofisi  ya Waziri Mkuu)

No comments: