| Mmiliki wa mtandao huu, John Badi 'Mzee wa Mitikasi' (kushoto), akifuatilia kwa makini mada zilizokuwa zikitolewa katika warsha hiyo. |
| Mmoja wa Wakurugenzi wa TCRA, Dk. Mfungahema akiwasilisha mada. |
| Afisa Mtendaji Mkuu wa Google Africa, Joe Mucheru akiwasilisha mada. |
| Bloggers, Jeff Msangi wa Bongo Cerebrity.com (kushoto) na Jestina George wa Jestina George Blog maskani London wakifuatilia mada mbalimbali zilizokuwa zikitolewa. |
| Prof. Nkoma akijibu baadhi ya maswali yaliyoulizwa wakati wa kipindi cha maswali na majibu. |
| Bloggers Othman Michuzi (kushoto) na Henry Mdimu ndani ya warsha. |
| MD - Tech Walk Technology, Blogger, Motivational Speaker and Trainer, Liz Wachuka akitoa mada mbalimbali nzuri na za kuvutia ambazo zilivuta hisia za washiriki wa warsha hiyo. |
| Sehemu ya washiriki wa warsha hiyo. |
| Mabloggers (kutoka kushoto), Ahmad Michuzi, Yusuf Badi, Jestina George, John Badi, Carthbert Kajuna, Othman Michuzi na Joseph Mwaisango wakiwa katika picha ya pamoja full kutabasamu. |
No comments:
Post a Comment