Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Mfuko wa Pensheni wa Mashirika ya Umma (PPF), Dkt. Aggrey Mlimka (Katikati), akisalimiana na Meneja Mkuu Kitengo cha Uhusiano wa Benki ya NBC, William Kallaghe (Kushoto), katika hafla ya chakula cha jioni kilichoandaliwa na benki hiyo kwa wajumbe waliokuwa wakishiriki Mkutano wa 23 wa Mwaka wa wanachama na wadau wa PPF jijini Arusha mwishoni mwa wiki. Kulia ni Mkuu wa Hazina NBC, Pius Tibazarwa. |
No comments:
Post a Comment