Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na wafanyakazi wa
Swissport katika uwanja wa ndege wa kimataifa ya Julius Nyerere wakati
akielekea kwenye ndege jioni ya jana, Jumatatu, Oktoba 28, 2013, kwenda
London, Uingereza, kwa ziara ya kikazi ya siku nne ambako atahudhuria Mkutano
wa Kimataifa wa Serikali Uwazi (Open Government) uliotishwa na
Serikali ya Waziri Mkuu wa Uingereza, Mheshimiwa David Cameroun. Kulia kwake ni
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe Bernard Membe na Meneja
wa Shirika la ndege la Emirates uwanjani hapo Bw. Aboubakar Jumaa. (PICHA NA
IKULU)
|
No comments:
Post a Comment