Siku ya sita Ziara ya CHADEMA Jimbo la Tabora Kaskazini
Tumefanya mkutano wetu wa mwisho kijijini Mabama. Mkutano mkubwa sana
na kuingia wanachama wengi sana.
Kilio kikubwa cha wananchi ni Maji na
unyonyaji katika zao la Tumbaku. Kuna haja kubwa sana ya kusukuma
hifadhi ya jamii kwa wakulima. Tunaweza kukoboa wakulima wengi sana
kutoka kwenye unyonyaji.
Ufisadi kwenye ngazi ya kijiji unatisha. Kama kawaida Mh Zitto Kabwe aliacha swali,
Umewahi kusikia jengo la matofari ya saruji linajengwa kwa tope?
Kesho 12th Oct Nzega na kesho kutwa 13th Igunga
No comments:
Post a Comment