Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk, Hussein Mwinyi (kulia) akimkabidhi Kaimu Katibu Mkuu wa wizara hiyo, ambaye pia ni Kamshina wa Ustawi wa Jamii, Danford Makala (kushoto) kitabu cha Orodha ya Dawa muhimu na matibabu katika hafla iliyofanyika jana jioni kwenye ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dares Salaam.Picha na Magreth Kinabo –Maelezo.
|
No comments:
Post a Comment