Ofisa Mwandamizi wa Uwekezaji wa Shirika la Taifa la Hifadhi
ya Jamii (NSSF), Tajudin Kamugisha akitoa mada wakati wa kongamano la
wawekezaji wa sekta ya korosho jijini Dar es Salaam jana, Kuhusu mpango wa
kuwashirikisha wakulima na kuwawezesha kiuchumi endapo watajiunge na NSSF na kufaidika
na mafao saba ikiwemo mikopo kupitia vyama vyao vya ushirika kwa ajili ya
kuendeleza mashamba yao. (Picha na Francis Dande)
Ufafanuzi.
Washiri wa kongamano la wawekezaji katika sekta ya Korosho.
Ofisa Mwandamizi Uwekezaji wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya
Jamii (NSSF), Salvatory Hinju akifafanua jambo kwa baadhi ya watu waliofika
katika banda lao wakati wa kongamano la wawekezaji wa sekta ya korosha
lililofanyika jijini Dar es Salaam jana. Katikati ni Ofisa Mkuu Operesheni wa NSSF,
Juliet Chalamila.
Wadau wakipata maelezo kutoka kwa Ofisa Mwandamizi Uwekezaji wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya
Jamii (NSSF), Salvatory Hinju. Katikati ni Ofisa Mkuu Operesheni wa NSSF,
Juliet Chalamila.
Wadau wakipata maelezo.
Wadau wa sekta ya Korosho wakiwa katika kongamano wa wawekezaji wa zao hilo.Kushoto ni Muhidin Ndolanga na wa pili kushoto ni Ofisa Mwandamizi wa Uwekezaji wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Tajudin Kamugisha.
No comments:
Post a Comment