Wafanyakazi wa Airtel Tanzania wakitoa elimu juu ya matumizi ya bidhaa mbali mbali za Airtel ikiwemo jinsi ya kufanya malipo ya kodi kwa wateja wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) ambapo Airtel pamoja na TRA wamekubalina kufanya kazi pamoja kwa kuwasaidia Watanzania kufanya malipo yao kwa simu za mkononi kupitia kampeni ya TRA Magari. Maonyesho hayo yalifanyika jana makau makuu ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) jijini Dar es Salaam.
|
No comments:
Post a Comment