Tangazo

November 5, 2013

Rais Kikwete aaga mwili wa Jaji Hilary Mkate

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitoa heshima za mwisho kwa Marehemu Jaji Mstaafu Hilary Mkate Oktioba 4, 2013 Kinondoni Dar es salaam.
Rais Jakkaya Kikwete akimfariji Mwenyekitio wa Tume ya Uchaguzi Jaji Mstaafu Damian Lubuva baada ya kuaga mwili wa marehemu Jaji MstaafuHilary Mkate Oktoba 4, 2013 Kinondoni, Dar es salaam.PICHA NA IKULU

No comments: