Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili katika uwanja wa ndege wa Waterloof Air Force Base jijini Pretoria, Afrika ya Kusini Jumatatu Oktoba 4, 2013 tayari kuhudhuria mkutano wa pamoja wa nchi za jumuiya ya maendeleo kusini mwa Afrika (SADC) na za maziwa makuu (ICGLR) katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Oliver Tambo jijini Pretoria, Afrika ya Kusini. |
No comments:
Post a Comment