Waziri Mkuu, Mizengo
Pinda akizungumza na Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Tekinolojia, Profefesa
Makame Mbarawa (kulia)wakizungumza na Wawekezaji katika Tekinolojia ya
Mawasiliano kutoka Vietnam, Nguyen Quang (wapili kulia) na Pham Dai Bach
(katikati)l ofisini kwa Waziri Mkuu, Bungeni Mjini Dodoma May 10, 2014. Wapili
kushoto ni mwenyeji wa wawekezaji hao, Balozi F. Mdolwa. (Picha na Ofisi
ya Waziri Mkuu)
|
No comments:
Post a Comment