Tangazo

July 25, 2014

Rais Kikwete amuapisha Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa  Tanzania, Dkt. Jakaya Kikwete akimuapisha Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania Mhe. Shaban Ally Lila leojijini Dar es Salaam.
Jaji Kiongozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jaji Shaban Ally Lila (kulia) akitia saini hati ya Kiapo mbele ya Rais Jakaya Kikwete wakati wa hafla ya kuapishwa kwake leo jijini Dar es Salaam. Katikati (mwenye miwani) ni Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akishuhudia . Picha zote na Frank Shija- MAELEZO

No comments: