Tangazo

August 17, 2014

WAZIRI MKUU PINDA AKAGUA DARAJA NA MRADI WA NYUMBA ZA NSSF KIGAMBONI

Waziri mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Dr. Swami Parthasarathy kutoka Sri SIIM Group nof Institutions ya India, kabla ya mazungumzo yao ,Ofisini kwake jini Dar es salaam August 16, 2014. (Picha na ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akifunga mkutano  watalaamu wa Jiolojia barani Afrika uliofanyika kwenye ukumbi wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es salaam August 16, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri  Mkuu, Mizewngo Pinda akikagua ujenzi wa daraja la kigamboni jijini Dar es salaam August 16, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri  Mkuu, Mizengo Pinda akikagua ujenzi wa nyumba unaofanywa na Shirika la NSSF katika eno la Kigamboni jijini Dar es salaam August 16, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa na  Bibi Doreene Mkandara na Mwanae Adastus  Aporinary ambao ni miongoni mwa wateja waliouziwa nyumba  na Shirika la Nyumba la Taifa la NHC  zilizoko eneo la Kibada  Kigamboni jijini Dar es salaam ambako Waziri Mkuu aliembelea August 16, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiongozana na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Meck Sadik na Mkuu wa Wilaya ya Temeke Sophia Mjema (kushoto)  kukagua  nyumba za Shirika la Nyumba la Taifa NHC zilijengwa na kuuzwa  eneo la Kibada Kigamboni jijini Dar es salaam August 16, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua ujenzi wa nyumba  katika mradi wa DEGE  ECO VILLAAGE unaomilikiwa na Shirika la NSSF eneo la Kigambaoni August 16, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments: