Tangazo

August 16, 2014

Mazoezi Redd's Miss Temeke yapamba moto

 Warembo wanaotarajia kushiriki mashindano ya Redd's Miss Temeke, wakipozi wakati wa mazoezi  katika Klabu ya TCC, Chang'ombe, Dar es Salaam. Mashindano yatafanyika kwenye klabu hiyo, Agosti 22,mwaka huu. PICHA ZOTE NA MDAU KHAMIS MUSSA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG




No comments: