Tangazo

September 29, 2014

AIRTEL FAMILY DAY 2014 YAFANA

Wafanyakazi wa kampuni ya Airtel Tanzania (kutoka kushoto), Kema Mabango, Abdallah Gunda na Jackson Mmbando wakishiriki katika shindano la kukuna nazi wakati wa Siku ya Wanafamilia ya Airtel, iliyofanyika katika viunga vya Fun City Kigamboni jijini Dar es salaam jana. 
Watoto wa wafanyakazi wa kampuni ya Airtel Tanzania wakiogelea wakati wa Siku ya Wanafamilia ya Airtel, iliyofanyika katika viunga vya Fun City Kigamboni jijini Dar es salaam jana.
Watoto wa wafanyakazi wa kampuni ya Airtel Tanzania wakishiriki katika michezo  wakati wa Siku ya Wanafamilia ya Airtel, iliyofanyika katika viunga vya Fun City Kigamboni jijini Dar es salaam jana.
Wafanyakazi wa Airtel na familia zao wakijisevia maakuli.
Afisa Uhusiano na Matukio wa Airtel, Dangio Kaniki (kulia) akiwahudumia chakula wafanyakazi wa Airtel na familia zao.
Washindi wa shindano la kukuna nazi wakishow love. Kutoka (kushoto), Mshindi wa Kwanza, Abdallah Gunda, Mshindi wa Pili, Jackson Mmbando na Mshindi wa Tatu, Kema Mabango.

No comments: