Tangazo

September 11, 2014

Mbunifu wa Mavazi wa Kimataifa, Sheria Ngowi akutana na Rais Kikwete Ikulu jijini Dar

Mbunifu wa mavazi wa kimataifa Sheria Ngowi (kulia), akibadilishana mawazo na Rais Jakaya Kikwete Ikulu jijini Dar es Salaam alipomtembelea na kujadili mambo mbalimbali.
Rais Jakaya Kikwete akiangalia baadhi ya sample za vitambaa vya nguo vinavyotumiwa na mbunifu wa mavazi wa kimatafaifa, Sheria Ngowi (kulia), Ikulu jijini Dar es Salaam leo, Kushoto ni Makamu wa Rais wa Sheria Ngowi Brand,  Haki Ngowi.
Rais Jakata Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Ujumbe Maalum Kutoka Sheria Ngowi Brand, Ukiongozwa na Mbunifu wa mavazi wa kimataifa, Sheria Ngowi (wa pili kushoto), Makamu wa Rais wa Sheria Ngowi Brand, Haki Ngowi (wa pili kulia), Mkuu wa Kitendo cha Biashara na Matangazo, Deo Kessy (kushoto) na Kiongozi wa Idara ya Habari kutoka Sheria Ngowi Brand, Atunza Nkrulu (kulia). PICHA /FREDDY MARO - IKULU

No comments: