Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Bibi yake
Rais wa Marekani,Mh. Barack Obama,Mama Sarah Obama walipokutana Leo kwenye
hoteli ya Villa Rosa Kempiski jijini Nairobi, Kenya, wakati Rais Kikwete
akijiandaa kurejea nchini.Mama Sarah Obama anatarajia kuzindua taasisi ya
kusaidia elimu kijijini Kogelo nchini Kenya,alikozaliwa Baba yake na Rais Obama
wa Marekani itakayofahamika kama (Sarah Obama foundation) ambapo atajenga shule
kuanzia za awali mpaka sekondari. Rais kikwete sasa hivi yuko mjini Kondoa
kuendelea na ziara yake ya Mkoa wa Dodoma. PICHA NA IKULU
|
No comments:
Post a Comment