Tangazo

September 22, 2014

Rais wa Zanzibar Dk. Shein akutana na Balozi wa Marekani nchini

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Balozi wa Marekani Nchini Tanzania  Mark Childress alipofika Ikulu Mjini Zanzibar  leo.[Picha na Ramadhan Othman Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akibadilishana mawazo na  Balozi wa Marekani Nchini Tanzania  Mark Childress alipofika Ikulu Mjini Zanzibar  leo kwa mazungumzo .[Picha na Ramadhan Othman Ikulu.]
 

No comments: