Tangazo

September 18, 2014

RENATUS MALULU APATA JIKO

Hayawihayawiyamekuwa: Bwana harusi Renatus Malulu akimvisha pete ya ndoa mkewe Imeresiana Charles wakati wa ibada ya ndoa yao iliyofanyika katika kanisa katoliki la Mtakatifu Mashahidi wa Uganda la Magomeni jijini Dar es Salaam, na kufuatiwa na sherehe kubwa iliyofanyika kwenye ukumbi wa Msimbazi center.
Wakiwa na nyuso za furaha bwana harusi Renatus Malulu na mkewe Imeresiana Charles wakiwa kwenye pozi la picha baada ya kufunga pingu za maisha katika kanisa la Mtakatifu Mashahidi wa Uganda la Magomeni jijini Dar es Salaam, nakufuatiwa na sherehe kubwa iliyofanyika kwenye ukumbi wa Msimbazi center.
 RenetusMalulu na Imeresiana Charles wakinyweshana shampeni wakati wa sherehe yao ya ndoa. 
Maharusi  wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kufunga ndoa.

No comments: