Tangazo

September 30, 2014

Waziri wa Habari wa Zanzibar atembelea Studio za Radio DW Idhaa ya Kiswahili

Waziri Said Ali Mabrouk na ujumbe wake wakipata maelezo mafupi kuhusu DW kutoka kwa Naibu Mkuu wa Idhaa Mohammed Abdulrahman.
Waziri na ujumbe wake wakioneshwa studio za kurushia matangazo za dw-kiswahili. 

Kutoka kushoto, Katibu Mtendaji wa Tume ya Taifa ya Utangazaji Zanzibar, Chande Omar, Mohamed Khelef wa DW, Naibu Mkuu wa Idhaa ya Kiswahili, Mohammed Abdulrahman, Waziri wa habari Said Ali Mbarouk, Sudi Mnette wa DW, Rashid Omar kutoka chuo cha habari Zanzibar na Mkurugenzi wa shirika la utangazaji la Zanzibar Hassan Mitawi.

No comments: