Tangazo

April 8, 2015

PAPARAZZI BERNARD RWEBANGIRA AMEFARIKI DUNIA


MWANAHABARI WA SIKU NYINGI NA ALIYEWAHI KUWA MPIGA PICHA WA KAMPUNI YA TSN (WACHAPISHAJI WA MAGAZETI YA DAILY NEWS, SUNDAY NEWS NA HABARI LEO), BW. BERNARD RWEBANGIRA (PICHANI) AMEFARIKI DUNIA USIKU WA KUAMKIA LEO NA MSIBA UPO NYUMBANI KWAO MBEZI BEACH, JIJINI DAR ES SALAAM.


MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI- AMEN

No comments: