Tangazo

May 25, 2015

JK AKIONGOZA KIKAO CHA HALMASHAURI KUU

Mwenyekiti wa CCM Taifa ,Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) kwenye ukumbi wa NEC ,Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma.

No comments: