Tangazo

May 1, 2015

RAIS KIKWETE ATUNUKIWA TUZO NA TUCTA KATIKA MAADHIMISHO YA MEI MOSI KITAIFA

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea tuzo maalumu toka kwa Gratian Mukoba, Rais wa Shirikisho la  Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA) wakati wa kilele cha Mei Mosi Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza leo mei 1, 2015. Picha na IKULU