Afisa Mtendaji
Mkuu wa Benki ya Posta Tanzania (TPB), Sabasaba Moshingi akifafanua jambo
wakati wa mkutano na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, kuhusu
mkutano wa mabenki ya Akiba Duniani (WSBI) Kanda ya Afrika utakaofanyika kuanzia kesho jijini Dar es
Salaam. Kulia ni Mkurugenzi wa Sheria wa benki hiyo, Mystika Ngongi.
May 26, 2015
TANZANIA MWENYEJI WA MKUTANO WA MABENKI YA AKIBA DUNIANI (WSBI) KANDA YA AFRIKA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment