![]() |
Mashabiki
wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), wakiwa wamejipamba kwa rangi mwilini katika
mkutano wa hadhara uliofanyika katika Viwanja vya Ofisi ya CCM Mkoa wa Lindi.
|
![]() |
Makada
wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), wakiwa na bango lenye ujumbe katika mkutano huo.
|
![]() |
Waziri
wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama,
Bernard Membe (kulia) na Mkewe Dorcas, wakijadilina jambo na Mzee Ali Mtopa.
|
![]() |
Mwimbaji
nyota wa miondoko ya Taarab, Mzee Yusuf akitumbuiza katika mkutano huo.
|
No comments:
Post a Comment