Tangazo

August 27, 2015

BENKI YA CRDB YATOA ZAWADI KWA WASHINDI WA PROMOSHENI YA Tuma Pesa na Simbanking Shinda Passo

Mshindi wa Promosheni ya 'Tuma Pesa na Simbanking Shinda Passo', Editha Emmanuel akionyesha furaha yake baada ya kukabidhiwa zawadi yake ya gari leo. (Picha na Francis Dande)

Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Esther Kitoka akizungumza na waansdishi wa habari.

Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Esther Kitoka (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na washindi pamoja na Mameneja wa Benki hiyo.
Meneja wa Benki ya CRDB tawi la Lumumba, Pendo Assey (kushoto) akiwa na mshindi wa gari aina ya Passo, Editha Emmanuel.
<eneja wa Benki ya CRDB tawi la Mzumbe, Jane Maganga akiwa na mshindi wa tatu aliyejishindia simu ya kisasa aina ya Samsung, Hellen Solomon Achimpoto.
Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Esther Kitoka (kushoto) akikabidhi mfano wa funguo ya gari aina ya Passo kwa mshindi wa Promosheni ya 'Tuma Pesa na Simbanking Shinda Passo', Editha Emmanuel wakati wa hafla ya kukabidhi zawadi kwa washindi iliyofanyika jijini Dar es Salaam.

Mshindi wa Promosheni ya 'Tuma Pesa na Simbanking Shinda Passo', Editha Emmanuel akifungua gari yake baada ya kukabidhiwa na Naibu Mkurugenzi mtendaji wa Benki ya CRDB, Esther Kitoka (kushoto) katika hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam.

Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Esther Kitoka (kushoto) akikabidhi mfano wa funguo ya gari kwa mshindi wa Promosheni ya 'Tuma Pesa na Simbanking Shinda Passo', Editha Emmanuel wakati wa hafla ya kukabidhi zawadi kwa washindi iliyofanyika jijini Dar es Salaa. 
 Baadhi ya wakurugenzi wa Benki ya CRDB.
 Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Esther Kitoka akizungumza wakati wa kutoa zawadi kwa washindi wa Promosheni ya 'Tuma Pesa na Simbanking Shinda Passo'.
 Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Esther Kitoka (kushoto) akikabidhi zawadi ya simu ya kisasa aina ya Samsung mshindi wa tatu wa Promosheni ya 'Tuma Pesa na Simbanking Shinda Passo', Hellen Solomon Achimpoto.
  Meneja Uhusiano wa Benki ya CRDB, Godwin Semunyu (kushoto) akizungumza katika hafla ya kutoa zawadi kwa washindi wa promosheni ya 'Tuma Pesa na Simbanking Shinda Passo', 
 Deogratius Mushi akipokea kofia ngumu baada ya kushinda pikipiki.
 Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Esther Kitoka akikabidhi funguo ya pikipiki mshindi wa pili wa promosheni ya 'Tuma Pesa na Simbanking Shinda Passo', Deogratius Mushi ambaye ni mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.

No comments: