Tangazo

September 18, 2015

MAELFU WAJIOTKEZA KATIKA MKUTANO WA KAMPPENI ZA MGOMBEA MWENZA WA UKAWA BUSANDA GEITA

Mgombea mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Haji Duni akiwasili katika mkutano wa kampeni katika jimbo la Busanda mkoani Geita leo. (Picha na Francis Dande)
 Msafara wa mgombea mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Haji Duni ukiwasili katika kata ya Katolo wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika katika jimbo la Busanda mkoani Geita.
 Mgombea mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Haji Duni akiwapungia mkono wananchi waliofurika katika mkutano wa kampeni wa uliofanyika katika kata ya Katolo jimbo la  Busanda mkoani Geita.

 Mgombea mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Haji Duni akihutubia mkutano wa kampeni katika jimbo la Busanda mkoani Geita.

umati wa watu.

No comments: