Tangazo

September 18, 2015

KIBONDO NA KASULU YAHEMEWA UJIO WA MAGUFULI

  •  Kuboresha barabara, Elimu, Afya 
  • Kutatua tatizo la maji
  • Kutoa mikopo kwa vikundi vya kina mama na vijana
  • Kuondoa kodi ndogo ndogo zinazowakera wananchi wa hali ya chini
  • Kuimarisha ulinzi na kuboresha mishahara ya watumishi 
  • Kusaidia wananchi kufanya biashara kirahisi mipakaniMgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa  Mnanila wilaya ya Buhigwe mkoani Kigoma .
 Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Mnanila kwenye mkutano wa kampeni za CCM ,Buhigwe mkoani Kigoma.
 Umati wa wakazi wa Mnanila waliojitokeza kwa wingi kumsikiliza Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli.
 Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akimnadi mgombea ubunge wa jimbo Manyovu Ndugu Albert Obama kwenye mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika Mnanila wilaya ya Buhigwe,Kigoma.
 Wakazi wa Nyamidaho wakishangilia msafara wa Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli ulipokuwa unawasili kwenye eneo hilo.
 Wakazi wa Buhigwe wilayani wakimfuatilia Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli.
 Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Buhigwe wilayani.
 Wakazi wa Buhigwe wilayani wakimsikiliza Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli.
 Wakazi wa Kasulu wakimsubiri Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli.
 Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akiwasili kwenye uwanja wa Umoja wilayani Kasulu mkoa ni Kigoma.
 Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akisaini kitabu cha wageni wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye viwanja vya umoja Kasulu mjini, kulia ni mgombea ubunge wa jimbo la Kasulu Ndugu Daniel Nswanzugwanko.
 Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akizungumza na viongozi wa CCM waliojumuika kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye uwanja wa Umoja, Kasulu mkoani Kigoma.
 Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Kasulu kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika viwanja vya Umoja mjini Kasulu, Kigoma.
 Umati wa wakazi wa Kasulu waliojitokeza kumsikiliza Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli.
 Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akisisitiza jambo wakati wa mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika kwenye uwanja wa Umoja wilayani Kasulu.
  Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akiwanadi wagombea ubunge wa Kasulu Vijijini Ndugu Agustino Vuma( katikati) na Ndugu Daniel Nswanzugwanko wa Kasulu mjini.
 Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akisalimiana na wakazi wa Mvugwe wakati akielekea Kibondo.
 Binti akiendesha baiskeli yenye picha ya Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli kwenye mitaa ya Mvugwe.
 Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akisalimiana na wananchi waliofunga njia wakati akielekea Kibondo.
 Wakazi wa Kibondo wakiwa kwenye uwanja wa Taifa,Kibondo mkoani Kigoma.
 Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Kigoma Dk. Aman Walid Kabourou akitoa salaam za utangulizi kabla ya Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli kuhutubia wananchi.
 Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi na Mjumbe wa kamati Kuu ya CCM Taifa Alhaji abdallah Bulembo akihutubia wakazi wa Kibondo kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni za CCM.
 Ndugu jamal Abdallah Tamimu akihutubia wakazi wa Kibondo na kutaka kushiriki kwa umoja wao kuipigia kura tarehe 25 Oktoba kwenye uchaguzi wa Rais , Wabunge na Madiwani.
 Mkuu wa mkoa wa Arusha Mhe.Daudi Felix Ntibenda akihutubia wakazi wa Kibondo kwenye mkutano wa kampeni za CCM.
 Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi Kibondo kwenye mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika uwanja wa Taifa.
 Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akisisitiza jambo wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika uwanja wa Taifa ,Kibondo mkoani Kigoma.

No comments: