Tangazo

October 31, 2015

HABARI KUTOKA VITUO VYA TELEVISHENI

SIMU.TV: Viongozi mbalimbali wa siasa pamja na viongozi wa dini mkoani Kigoma wameeleza mtazamo wao wa jinsi uchaguzi mkuu ulivyofanyika mwaka huu; https://youtu.be/b045ZwZ8dwA
SIMU.TV: Wananchi wamekuwa na maoni mbalimbali ya jinsi baraza la mawaziri la rais aliyeteuliwa hivi karibuni Dr.John Magufuli ; https://youtu.be/CUlLCud_ldI
SIMU.TV: Watetezi wa haki za binadamu  wameitaka ZEC kutafuta suluhu mapema juu ya uchaguzi wa Zanzbar ili kuleta amani visiwani humo; https://youtu.be/suy1tFsCFj4   
SIMU.TV: Tume ya uchaguzi NEC Yawakabidhi  vyeti vya ushindi wa  uraisi DK John Pombe Magufuli Na makamu wa uraisi MH.  Samia Suluhu Hassan; https://youtu.be/ueeqDfC4rMo
SIMU.TV:  Raisi Kikwete amezindua kampuni ya soko la bidhaa la taifa nchini Tanzania ili kukuza kilimo na kuongeza soko kwa wakulima ; https://youtu.be/tVqMZiflC9s
SIMU.TV:  Baadhi wa wasomi wamesema wanasiasa wanatakiwa kukubaliana na matokeo kama yalivyotangwaza na tume ya uchaguzi NEC; https://youtu.be/19iYXiORsn0
SIMU.TV:  Je vyombo vya habari havijaona habari zingine za kuripoti zaidi ya uchaguzi mkuu? Fuatilia mjadala hapa Simu.tv; https://youtu.be/RR3g0QQTSjs 
SIMU.TV: kutana na katibu mkuu wa shirikisho la mchezo wa masumbwi akielezea pambano la kimataifa la kirafiki litakalofanyika mkoani Tanga; https://youtu.be/AYCQyZSGFAk  
SIMU.TV:  Fuatilia mjadala na wataalam wa  habari juu ya namna vyombo vya habari zilivyoripoti habari za juma zima; https://youtu.be/CWsuc6Hup2g 
SIMU.TV:  Mkurugenzi mtendaji AZAM FC Saadi Kawemba  afunguka kuhusiana na mazungumzo na mshambuliaji wa timu hiyo Didier Kavumbago;  https://youtu.be/SDAfl306wSQ
SIMU.TV: Ligi kuu Vodacom Tanzania bara kuendelea kurindima katika viwanja vitano mbalimbali nchini leo hii;  https://youtu.be/kcq8xV2TRNY

No comments: