Tangazo

October 19, 2015

MAGUFULI ALIVYOITIKISHA MWANZA

 Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa jiji la Mwanza waliojitokeza kwa wingi kwenye mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika kwenye viwanja vya Furahisha.
 Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuliakihutubia wakazi wa jiji la Mwanza ambapo aliwaambia wananchi hao kuwa anataka kuibadilisha Mwanza na kuwa jiji kubwa la kibiashara.
 Uati uliojitokeza kwenye viwanja vya Furahisha kumsikiliza Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuli.
 Msanii wa muziki wa kizazi kipya Fid Q akiburudisha wakazi wa jiji la Mwanza waliojitokeza kumsikiliza Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuli kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika viwanja vya Furahisha.
 Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuliakiwanadi wagombea ubunge wa jimbo la Ilemela na Nyamagana kwenye uwanja wa Furahisha.
 Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuli akimkabidhi kitabu cha Ilani ya Uchaguzi mgombea ubunge wa jimbo la Nyamagana kupitia CCM Ndugu Stanslaus Mabula.
 Mgombea ubunge wa jimbo la Ilemela Mama Angelina Sylvester Lubala Mabula akihutubia wakazi wa jiji la Mwanza waliojitokeza kwa wingi kwenye mkutano wa kampeni za kumnadi mgombea Urais upitia CCM Dk. John Pombe Magufuli.
  Mgombea ubunge wa jimbo la Nyamagana kupitia CCM Ndugu Stanslaus Mabula akihutubia umati wa wakazi wa jiji la Mwanza na kuahidi kuwatumikia wakazi wa jimbo lake kwa nguvu zake zote.
 Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuli akiondoka kwenye viwanja vya Furahisha mara baada ya kumaliza kuhutubia wakazi wa jiji la Mwanza.

No comments: