Tangazo

April 6, 2016

SHIRIKA LA POSTA LAZINDUA HUDUMA MPYA YA POSTA MLANGONI JIJINI DAR

Baadhi ya pikipiki na bajaji za kubebea barua na vifurushi kuvipeleka majumbani na maofisini kwa wateja kwa ajili ya utekelezaji wa huduma mpya iliyozinduliwa ya Posta Mlangoni, jijini Dar es Salaam jana.(Picha zote zimeandaliwa na Kassim Mbarouk-www.bayana.blogspot.com)
Wasani wa Kundi la Mjomba Band wakitumbuiza wakati wa uzinduzi wa huduma hiyo.
Mgeni rasmi Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda (katikati), akielezwa jambo na Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Mawasiliano), Profesa Faustin Kamuzora (wapili kushoto wakati akiingia kwenye viwanja vya uzinduzi wa huduma hiyo jijini jana. Kulia ni Kaimu Postamasta Mkuu na Mtendaji Mkuu wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), Fortunatus Kapinga.  
Mgeni rasmi katika uzinduzi wa huduma mpya ya kupeleka barua na vifurushi nyumbani na maofisini kwa wateja ya Posta Mlangoni, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, akipatiwa maelezo na Meneja Msaidizi wa Biashara ya Barua, Jason Kalile (kushoto), wakati alipotembelea baadhi ya sehemu za Ofisi Kuu ya Posta ya Dar es Salaam kabla ya uzinduzi wa huduma hiyo jana.
Wasani wa Mjomba band wakiigiza onesho la Posta Mlangoni wakati wa uzinduzi huo.
Wasani wa Kundi la Mjomba Band, Mrisho Mpoti (wapili kulia), Banana Zoro (kulia) na wenzao wa kundi hilo, wakitumbuiza wakati wa uzinduzi wa huduma hiyo.
Baadhi ya wageni waalikwa wakuiwa katika uzinduzi huo.
Baadhi ya wafanyakazi wa Shirika wakiwa katika hafla ya uzinduzi huo.
Baadhi ya wafanyakazi wa Shirika wakiwa katika hafla ya uzinduzi huo.
Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF), Mhandisi Peter Ulanga akizungumza wakati wa uzinduzi huo.
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Dk. Ally Simba, akizungumza wakati wa uzinduzi huo.
 Badhi ya wageni waalikwa wakiwa katika uzinduzi wa huduma hiyo.
Kaimu Postamasta Mkuu na Mtendaji Mkuu wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), Fortunatus Kapinga, akitoa utambulisho kwa wageni waalikwa wakati wa uzinduzi huo.
 Badhi ya wageni waalikwa na wafanyakazi wa shirika wakiwa katika hafla hiyo.
 Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Shughuli za Kimataifa wa Shirika, Elia Madules (wapili kulia), akiwa na baadhi ya wafanyakazi wakati wa hafla hiyo.
Ofisa Habari na Mawasiliano wa Shirika, Mwasiti Athumani (kulia), akiwa na mfanyakazi mwenzake wakiweka sawa masuala ya waandishi wa habari kwa kuwapatia nakala za hotuba za viongozi waliokuwepo katika uzinduzi huo.
Baadhi ya wafanyakazi wa Shirika wakisikiliza hotuba zilizokuwa zikitolewa wakati wa uzinduzi huo.
Kaimu Postamasta Mkuu na Mtendaji Mkuu wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), Fortunatus Kapinga, akitoa hotuba yake wakati akielezea kuhusu huduma hiyo mpya kabla ya Mgeni rasmi, Mkuu wa Mkoa
Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Mawasiliano), Profesa Faustin Kamuzora, akitoa hotuba yake wakati wa uzinduzi huo.  
Mgeni rasmi Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, akitoa hotuba yake wakati wa uzinduzi huo.
Mgeni rasmi Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda (katikati), akiwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Mawasiliano), Profesa Faustin Kamuzora (kushoto) na Kaimu Postamasta Mkuu na Mtendaji Mkuu wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), Fortunatus Kapinga.

Mgeni rasmi Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda (kushoto), akimkabidhi Kaimu Postamasta Mkuu na Mtendaji Mkuu wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), Fortunatus Kapinga, moja ya kifurushi kwa ajili ya kupelekwa kwa mteja wakati wa uzinduzi wa huduma hiyo.
Mgeni rasmi Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda (kushoto), akimkabidhi Kaimu Postamasta Mkuu na Mtendaji Mkuu wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), Fortunatus Kapinga, moja ya kifurushi kwa ajili ya kupelekwa kwa mteja wakati wa uzinduzi wa huduma hiyo, huku akishuhudiwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Mawasiliano), Profesa Faustin Kamuzora (kushoto) na Mwakilishi wa Umoja wa Posta Barani Afrika (PAPU), Naibu Katibu Mkuu, Kola Aduloju (mwenye miwani kulia).

Juu na Chini: Kaimu Postamasta Mkuu na Mtendaji Mkuu wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), Fortunatus Kapinga, akimkabidhi moja ya kifurushi hicho, mfanyakazi wa Posta kwa ajili ya kukipeleka nyumbani kwa mteja wakati wa uzinduzi wa huduma hiyo.


Mwakilishi wa Umoja wa Posta Barani Afrika (PAPU), Naibu Katibu Mkuu, Kola Aduloju, akitoa hutuba yake katika uzinduzi wa huduma hiyo.
Meneja Msaidizi wa Biashara ya Barua, Jason Kalile akitoa maelezo wakati wa uzinduzi wa huduma hiyo.
Mgeni rasmi Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda (kushoto), akibonyeza kitufe cha kompyuta kwa ajili ya kuzindua rasmi huduma hiyo, huku akishuhudiwa na Kaimu Postamasta Mkuu na Mtendaji Mkuu wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), Fortunatus Kapinga (wapili kushoto), Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Mawasiliano), Maria Sasabo (katikati).
Mgeni rasmi Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda (wapili kushoto), akifurahia uzinduzi huo na Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Mawasiliano), Profesa Faustin Kamuzora (kushoto), Kaimu Postamasta Mkuu na Mtendaji Mkuu wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), Fortunatus Kapinga (wapili kulia) na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Maria Sasabo.

Mgeni rasmi Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda akiwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Mawasiliano), Profesa Faustin Kamuzora, Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Maria Sasabo, Kaimu Postamasta Mkuu na Mtendaji Mkuu wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), Fortunatus Kapinga, baadhi ya viongozi mbalimbali waalikwa na wafanyakazi wa Shirika katika picha ya pamoja mara baada ya kuizindua huduma hiyo.

Kaimu Postamasta Mkuu na Mtendaji Mkuu wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), Fortunatus Kapinga, akiagana na Mgeni rasmi Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, mara baada ya kumalizika kwa hafla ya uzinduzi wa huduma hiyo.

No comments: