Tangazo

September 5, 2016

TIGO FIESTA YAACHA HISTORIA KWA WAKAZI WA SHINYANGA

Msanii wa Bongo Fleva Linah akiwaburudisha wakazi wa Shinyanga katika Tamasha la Tigo Fiesta lililofanyika katika Uwanja wa Nje wa Kambarage Mjini Shinyanga mwishoni wa wiki hii.

Billnas na Linah wakiimba kwa pamoja katika jukwaaa la Tigo Fiesta 

Madee akilishambulia jukwaa la Tigo Fiesta huku mashabiki wakiishangilia wakati wa Tamasha la Tigo Fiesta lililofanyika mwishoni wa wiki hii Mjini Shinyanga.
Niki wa Pili akionesha umahiri wa mashairi katika jukwaa la Tigo Fiesta mwishoni wa wiki hii mjini Shinyanga.
Msanii nguli wa Bongo Fleva na mkazi wa Shinyanga Noorah akitumbuiza katika Jukwaa la Tigo Fiesta mapema mwishoni wa wiki iliyopita .
Benpol na Jux wakiimba kwa pamoja wimbo wa NAKUCHANA katika jukwaa la Tigo Fiesta viwanja vya Kambarage Mjini Shinyanga

Chemical akionesha umahiri wake na kuburudisha umati wa wakazi wa Shinyanga waliohudhuria Tamasha la Tigo Fiesta mapema mwishoni wa wiki iliyopita.

Jay Moe akiwarusha wakazi wa Shinyanga katika Tamasha la Tigo Fiesta mwishoni wa wiki hii


Umati wa wakazi wa Shinyanga wakitoa SHANGWE ya IMOOOO katika Tamasha la Tigo Fiesta liliofanyika katika viwanja ya Kambarage mwishoni wa wiki iliyopita

No comments: