Tangazo

January 25, 2017

NIDA TEXTILE MILLS (T) LTD YAFANYA MAULIDI YA MTUME MUHAMMAD NA KUUZULIWA NA ZAIDI YA WATU 40,000 NA VIONGOZI WA KISERIKALI

 Meneja Mkuu wa NIDA Textile Mills (T) Ltd Namera Group Of Industries,Muhammad Waseem (kulia) akimpokea Profesa Ibrahim Lipumba na viongozi wengine.
  Meneja Mkuu wa NIDA Textile Mills (T) Ltd Namera Group Of Industries,Muhammad Waseem (kulia) akimpokea,Naibu Waziri wa Wizara ya Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto,Dk, Hamis Kigwangalla. 
  Meneja Mkuu wa NIDA Textile Mills (T) Ltd Namera Group Of Industries,Muhammad Waseem (kulia) akimpokea,Naibu Waziri,Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa,Selemani Said Jafo.
 Sehemu ya viongozi wa Kidini waliohudhulia shughuli hiyo.
 Viongozi wa Serikali,Viongozi wa Kidini na Viongozi wa Kampuni ya DINA na Namera Group Of Industries wakiwa katika picha ya pamoja.
  Meneja Mkuu wa NIDA Textile Mills (T) Ltd Namera Group Of Industries,Muhammad Waseem (kulia) akimpokea akimkaribisha Profesa Juma Othumani Kapuya (kushoto) na viongozi wengine.
 Meneja Mkuu wa NIDA Textile Mills (T) Ltd Namera Group Of Industries,Muhammad Waseem (kulia) akimpokea Kiongozi wa Kidini .

No comments: