Tangazo

January 28, 2017

SERIKALI KUANDAA SERA YA LUGHA


Naibu Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Anastazia James Wambura akisalimia na Mwenyekiti wa Chama cha Wanafunzi wa Kiswahili Vyuo vikuu Afrika Mashariki (CHAWAKAMA) Bw. Byatato Awadh alipowasilia katika Chuo cha KumbuKumbu ya Mwalimu Nyerere katika kongamano la Lugha ya Kiswahili.


Naibu Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Anastazia James Wambura akisalimia na Waziri zamani wa Habari, Utamaduni na Michezo Dkt Mohamed Seif Khatib wakati alipowasili katika Chuo cha KumbuKumbu ya Mwalimu Nyerere kufungua kongamano la Lugha ya Kiswahili.


Naibu Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Anastazia James Wambura akiweka saini katika kitabu cha wageni mara alipowasilia katika Chuo cha KumbuKumbu ya Mwalimu Nyerere katika kongamano la la Lugha ya Kiswahili.


Naibu Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Anastazia James Wambura (katikati) akielekea katika Ukumbi wa Utamaduni katika Chuo cha KumbuKumbu ya Mwalimu Nyerere kufungua kongamano la Lugha ya Kiswahili. kulia ni Naibu Mkuu wa Chuo cha KumbuKumbu ya Mwalimu Nyerere( Mipango Fedha na Utawala) Dkt. Magreth Shawa na kushoto ni Mwenyekiti wa Chama cha wanafunzi wa Kiswahili Vyuo vikuu Afrika Mashariki (CHAWAKAMA) Bw. Byatato Awadh.

No comments: