Tangazo

April 10, 2017

Wanafunzi wa kidato cha tatu kutoka shule mbalimbali walioingia kwenye fainali za mashindano ya ICT watembelea Airtel Makao Makuu

Kaimu Mkuu wa kitengo cha Uendeshaji wa Mitambo wa Airtel , Frank Munale akiongea na wanafunzi  wa kidato cha tatu kutoka shule mbalimbali walioingia kwenye fainali za mashindano ya ICT nchini yanayosimamiwa na UCSAF (Universal Communications Services Access Funds)  wakati walipotembelea Airtel makao makuu kujifunza zaidi kuhusu teknolojia ya mawasiliano.  Akishuhudia ni Meneja Huduma kwa Jamii wa Airtel Bi  Hawa Bayumi.

Afisa Huduma kwa wateja wa Airtel, Stephen Makongoro akiwaonyesha baadhi ya wanafunzi jinsi ya kupata huduma mbalimbali kupitia komputa kubwa iliyopo katika duka la kisasa la Airtel wakati wanafunzi hao wa kidato cha tatu kutoka shule mbalimbali walioingia kwenye fainali za mashindano ya ICT nchini yanayosimamiwa na UCSAF (Universal Communications Services Access Funds) walipotembelea Airtel makao makuu kujifunza zaidi kuhusu technologia ya mawasiliano.

Meneja Huduma kwa Jamii wa Airtel Bi  Hawa Bayumi akiongea na wanafunzi  wa kidato cha tatu kutoka shule mbalimbali walioingia kwenye fainali za mashindano ya ICT nchini yanayosimamiwa na UCSAF (Universal Communications Services Access Funds)  wakati walipotembelea Airtel makao makuu kujifunza zaidi kuhusu technologia ya mawasiliano.

Wanafunzi hao wa kidato cha tatu kutoka shule mbalimbali walioingia kwenye fainali za mashindano ya ICT nchini yanayosimamiwa na UCSAF (Universal Communications Services Access Funds)  wakitumia komputa kubwa iliwekwa kwaajili ya wateja katika duka la Airtel Makao Makuu kuangalia bidhaa na huduma mbalimbali wakati walipotembelea Airtel makao makuu kujifunza zaidi kuhusu technologia ya mawasiliano.

No comments: