Tangazo

January 9, 2018

NAIBU SPIKA ATEMBELEA BOHARI YA DAWA (MSD)

 Mkurugenzi Mkuu wa Bohari ya Dawa (MSD) Bwana Laurean Bwanakunu, akizungumza na Naibu Spika, Dk. Tulia Ackson alipofanya ziara ya kikazi ya siku moja kutembelea MSD kuona shughuli mbalimbali za uhifadhi dawa na Vifaa tiba jijini Dar es Salaam jana.
 Hapa Naibu Spika, Dk. Tulia Ackson akitembelea ghara la kuhifadhi dawa na vifaa tiba.
Naibu Spika akipata maelezo.

Mkurugenzi Mkuu wa Bohari ya Dawa (MSD) Bwana Laurean Bwanakunu, akiagana na Naibu Spika, Dk.Tulia Akson baada ya kumaliza ziara hiyo ya kikazi.

No comments: