Tangazo

February 21, 2018

SERIKALI NA SHIRIKA LA THAMINI UHAI WAZINDUA KAMPENI YA MATUMIZI BORA YA HUDUMA ZA UZAZI NA WATOTO , KIGOMA

Mkuu wa mkoa Kigoma Brigedia Jenerali Mstaafu Emanuel Maganga (katikati mwenye kotI jeusi) na Mkurugenzi Mkuu wa shirika la thamini Uhai Dk.Nguke Mwakatundu (wa pili kulia) wakikata utepe kuashiriki uzinduzi rasmi wa kampeni hiyo,wengine ni wadau wa afya mkoani Kigoma. Mkuu wa mkoa Kigoma Brigedia Jenerali Mstaafu Emanuel Maganga (kulia) akizungumza wakati wa uzinduzi huo
Mkurugenzi Mkuu wa shirika la Thamini Uhai, Dk.Nguke Mwakatundu (katikati ) akizungumza wakati wa uzinduzi huo
Baadhi ya wadau wa afya mkoani Kigoma wakati wa uzinduzi huo

No comments: