Waziri
wa Nishati Dkt Medard Kalemani akizindua upatikanajiwa huduma ya umeme
chini ya mradi wa usambazaji wa umeme vijiji niawamu ya tatu (REA III)
katika Kijii ch a Magumbani Kitongoji chaMbuluni Kata ya Moa wilayani
Mkinga
Waziri
wa Nishati Dkt Medard Kalemani akizindua upatikanaji wa huduma ya umeme
chini ya mradi wa usambazaji wa umeme vijiji niawamu ya tatu (REA III)
katika Kijii cha Magumbani Kitongoji chaMbuluni Kata ya Moa wilayani
Mkinga kulia ni Mkuu wa wilaya ya Mkinga,Y ona Mark na Mwenyekiti wa
Kijiji cha Mbuluni Selemani Omari
Waziri wa Nishati Dkt Medard Kalemani akizungumza na wananchi mara
baada ya kuzindua upatikanajiwa huduma ya umeme chini ya mradi wa
usambazaji wa umeme vijiji niawamu ya tatu (REA III) katika Kijii cha
Magumbani Kitongoji chaMbuluni Kata ya Moa wilayani Mkinga
Waziri wa Nishati Dkt Medard Kalemani akizungumza na wananchi mara baada
ya kuzindua upatikanajiwa huduma ya umeme chini ya mradi wa usambazaji
wa umeme vijiji niawamu ya tatu (REA III) katika Kijii cha Magumbani
Kitongoji chaMbuluni Kata ya Moa wilayani Mkinga
Waziri
wa Nishati Dkt Medard Kalemani katikati akiteta jambo mara baada ya
kuzindua upatikanajiwa huduma ya umeme chini ya mradi wa usambazaji wa
umeme vijiji niawamu ya tatu (REA III) katika Kijii cha Magumban i
Kitongoji chaMbuluni Kata ya Moa wilayani Mkinga kulia ni Mkuu wa wilaya
ya Mkinga Yona Mark
Waziri wa Nishati Dkt Medard Kalemani akisalimiana na wananchi mara
baada ya kuzindua upatikanaji wa huduma ya umeme chini ya mradi wa
usambazaji wa umeme vijiji ni awamu ya tatu (REA III) katika Kijii cha
Magumbani Kitongoji chaMbuluni Kata ya Moa wilayani Mkinga
Waziri wa Nishati Dkt Medard Kalemani akizungumza na waataalamu
mbalimbali wanaotekeleza mradi wa rea awamu ya tatu mara baada ya
kuzindua upatikanajiwa huduma ya umeme chini ya mradi wa usambazaji wa
umeme vijiji niawamu ya tatu (REA III) katika Kijii cha Magumbani
Kitongoji chaMbuluni Kata ya Moa wilayani Mkinga
Waziri wa Nishati Dkt Medard Kalemani akiwa kwenye picha ya pamoja mara
baada ya kuzindua upatikanajiwa huduma ya umeme chini ya mradi wa
usambazaji wa umeme vijiji niawamu ya tatu (REA III) katika Kijii cha
Magumbani Kitongoji chaMbuluni Kata ya Moa wilayani Mkinga kulia ni Mkuu
wa wilaya ya Mkinga Yona Mark
Ssehemu ya wakandarasi wakifuatilia uzinduzi huo
WAZIRI wa Nishati Dkt Medard Kalemani amewaagiza wa wakala wa nishati
vijijini (REA) nchini kuhakikisha wanaunganisha umeme kwenye vijiji
vitatu kila wiki ili kuweza kutoa fursa ya wananchi kufikiwa na huduma
hiyo muhimu.
Dkt Kalemani aliyasema hayo leo wakati akizindua
upatikanaji wa huduma ya umeme chini ya mradi wa usambazaji wa umeme
vijijini awamu ya tatu (REA III) katika kijiji cha Magumbani kitongoji
cha Mbuluni Kata ya Moa wilayani Mkinga mkoani Tanga.
Uzinduzi
huo ulikwenda sambamba na uwashwaji wa huduma ya umeme katika Kijiji
hicho ili kuwawezesha kupata huduma hiyo ilikuwa haipo awali katika eneo
hilo
Alisema kwani hayo ndio malengo waliowapa ikiwa ni mpango
mkakati wa kuha kikisha wanafikia malengo ya kuwapelekea umeme
watanzania wote ifikapo mwaka 2021/2022 ili waweze kunufaika kupitia
huduma hiyo
“Leo tutaangalia mlipowasha lakini niwaagize
wakandarasi tunataka kuona kila wiki vijiji vitatu vinawashwa umeme
kwani wananchi wanauhitaji mkubwa wa kufikiwa na huduma hiyo hivyo
hakikisheni hilo mnalitilia mkazo mkubwa “Alisema.
Hata hivyo
alisema bado kuna changamoto ya wananchi kutapeliwa na mafundi ambao
wamekuwa wakiwabambikia bei kuwaambia walipe kidogo kabla ya kulipia
27000 ambazo wanapaswa kulipa jambo ambalo ametaka likomeshwe haraka.
“Mameneja,
Wakandarasi tuna changamoto wananchi kutapeliwa kuna tabia imezuka
mafundi wanawabambikia bei wanaawaambia walipe kidogo kabla ya kulipa
elfu 27000 labda niwaambie tu kwamba mtu wa namna hiyo atakayepatikana
watakaobainika watachukuliwa hatua kali za kisheria”Alisema Waziri huyo.
Alisema mradi huo utakwenda kila kijiji, kitongoji na nyumba
kwa nyumba huku akieleza hata kama nyumba unayokaa utaona hakuna sehemu
ya kutundukia waya weka hata kwenye mti ili mradi uweze kufikiwa na
huduma hiyo.
Aidha alisema kusudio lingine ambalo alilojia ni
kuweka msukumo kwa wakandarasi wafanye kazi usiku na mchana ili kuweza
kumaliza mradi huo kwa wakati ili walengwa waweze kunufaika nao.
Waziri
huyo pia aliwataka wananchi kuendelea kutunza miundombinu ya umeme
ikiwemo Transfoma kwa kuhakikisha kutokuiba mafuta kwa lengo la
kuwawezesha kunufaika na huduma hiyo muhimu kwa ukuaji wa maendeleo.
“Ndugu
zangu tukishirikiana kuilinda miudombinu ya umeme kwani serikali
inatumia gharama kubwa kuifikisha kwenye maeneo yenu lakini pia Diwani
wa Kata hii anzeni kutenga fedha kwa ajili ya kuunganisha kwenye taasisi
za umma kwenye maeneo yenu”Alisema(Habari kwa Hisani ya Blog ya Kijamii ya Tanga Raha)
No comments:
Post a Comment