Tangazo

March 26, 2018

KINANA AZINDUA SEMINA ELEKEZI KWA WAJUMBE WA BARAZA KUU LA UVCCM TAIFA JIJINI DODOMA

Kaimu Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Ndg.Shaka Hamdu Shaka (MNEC) akizungumza kabla ya Kumkaribisha Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi Ndg.Kheri Denis James (MCC) Kumkaribisha Katibu Mkuu wa CCM Kufungua Semina Elekezi kwa Wajumbe wa Baraza kuu la Umoja wa Vijana Wa Chama cha Mapinduzi Mjini Dodoma Machi 25.2018.
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Ndg.Kheri Denis James(MCC) akizungumza wakati wa kutoa maelezo na kumkaribisha Mgeni Rasmi kufungua mafunzo Maalum kwa Wajumbe wa Baraza kuu la UVCCM Taifa.
 Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akifungua semina elekezi kwa wajumbe wa Baraza kuu la Umoja wa Vijana wa CCM Taifa katika Ukumbi wa NEC katika Jengo la Ofisi ya Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma
Washiriki wakifuatilia semina elekezi kwa wajumbe wa Baraza kuu la Umoja wa Vijana katikaUkumbi wa NEC Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma.
 Washiriki wakifuatilia semina elekezi kwa wajumbe wa Baraza kuu la Umoja wa Vijana katikaUkumbi wa NEC Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma.
Washiriki wakifuatilia semina elekezi kwa wajumbe wa Baraza kuu la Umoja wa Vijana,katikaUkumbi wa NEC Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma.
Washiriki wakifuatilia semina elekezi katikaUkumbi wa NEC Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma.
 Katibu Msaidizi Mkuu Idara ya Oganaizesheni Ndg.Steven Kazidi akiwasilisha Mada katika Semina Elekezi kwa wajumbe wa Baraza kuu la Umoja wa Vijana CCM Taifa, katika Ukumbi wa NEC Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma.
Meza kuu ikifuatilia Semina
(Picha zote na Fahadi Siraji wa UVCCM)

No comments: