Meneja
wa Bandari ya Tanga,Percival Salama kushoto akimkabidhi vitanda 10 leo
Mkuu wa wilaya ya Pangani Zainabu Abdallah kwa ajili ya kujifungulia
wakina mama wajawazito ambavyo vimetolewa na Mamlaka ya Usimamizi wa
Bandari nchini (TPA) ambavyo vinagharimu kiasi cha milioni 12.2 kushoto
anayeshuhudia ni Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji Jumaa Aweso ambaye
ni Mbunge wa Jimbo la Pangani (CC

ni Mbunge wa Jimbo la Pangani (CCM)
Meneja
wa Bandari ya Tanga,Percival Salama kushoto akimkabidhi vitanda 10 leo
Mkuu wa wilaya ya Pangani Zainabu Abdallah kwa ajili ya kujifungulia
wakina mama wajawazito ambavyo vimetolewa na Mamlaka ya Usimamizi wa
Bandari nchini (TPA) ambavyo vinagharimu kiasi cha milioni 12.2 kulia
anayeshuhudia ni Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji Jumaa Aweso ambaye
ni Mbunge wa Jimbo la Pangani (CCM) kushoto ni Kaimu Mkurugenzi wa
Halmashauri ya Pangani,Daudi Mlahangwa
Meneja
wa Bandari ya Tanga,Percival Salama kushoto akimpongezwa na Naibu
Waziri wa Maji na Umwagiliaji Jumaa Aweso mara baada ya kukabidhi
vitanda hivyo katika anayeshughudia ni Mkuu wa wilaya ya Pangani Zainabu
Issa
Mkuu
wa wilaya ya Pangani Zainabu Issa katika akimkabidhi Vitanda 10
vilivyotolewa na Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari nchini TPA kwa Kaimu
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Pangani,Daudi Mlahangwa kwa ajili ya wilaya
ya Pangani kulia ni Meneja wa Bandari ya Tanga,Percival Salama
akishughudia
Mganga
mkuu wa wilaya ya Pangani (DMO) Juma Mfanga kulia akitolea vitanda 10
kutoka kwa Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Pangani,Daudi Mlahangwa
vilivyotolewa na Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari nchini (TPA)
Meneja
wa Bandari ya Tanga,Percival Salama kushoto akiteta jambo na Mkuu
wilaya ya Pangani Zainabu Issa katikati ni Naibu Waziri wa Maji na
Umwagiliaji ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Pangani (CCM) Jumaa Aweso
(Habari kwa Hisani ya Blog ya Kijamii ya Tanga Raha
No comments:
Post a Comment