Tangazo

August 9, 2011

Ajali Mbaya ya gari yapoteza maisha ya aliyekuwa Diwani wa Kata ya Hai Mjini na Mkewe

Wananchi wakiangalia gari aina ya Toyota Pick up T 954 AFU lilivyoharibika baada ya kugongwa na lori la mizigo aina Fuso yenye T 279 ACL, na kusababisha kifo cha aliyekuwa diwani wa kata ya Hai Mjini mwaka 2005 hadi 2010, Ombaeli Lema, na mkewe Ruth Oronu, ilyotokea kata ya Mose Wilayani Hai .

No comments: