Mabasi madogo manne aina ya Rosa ya kampuni ya Mukeshi Travels yaliyokuwa na watu wanaodaiwa ni mamluki wa CHADEMA waliotoka Tarime na Musoma mkoani Mara kwenda kuvuruga uchaguzi Igunga, yakiwa yameegeshwa eneo la Tinde mkoani Shinyanga kwa ajili ya upekuzi wa Polisi leo. Hata hivyo walidai walikuwa wanakwenda kwenye kampeni huku wengine wakidai wanakwenda kuwa mawakala wa chama hicho siku ya uchaguzi. Kwa mujibu wa habari zilizothibitishwa na Msimamizi wa Uchaguzi, Mawakala waliapishwa jana. (Na Mpigapicha Wetu). |
1 comment:
i like it this information
Post a Comment