Tangazo

September 9, 2011

Mwanamuziki Nguli 'Kasaloo Kyanga' Hatunae tena

 Mwanamuziki Mkongwe Mtunzi na Mwimbaji, Kasaloo Kyanga, amefariki Dunia. Kasaloo atakumbukwa sana kwa utunzi wake mahiri kama vile vibao vilivyowahi kiwika katika tasnia ya muziki wa dansi hapa nchini vya  'Kalubandika' (Maquis Original), 'Masafa Marefu' , ' Nimemkaribisha Nyoka' na  'Kashasha' (Tancut Almasi Orchestra). Kwa hisani ya John Kitime Blog

No comments: