Bwana Zefania Mwangwale (31), mkazi wa Uyole akiwa katika Hospitali ya Rufaa mkoani Mbeya. Tukio hili lilimkuta Bwana Zefania akiwa na wenzake Hans Kyando na Shitambali Shitindi wakiwa kwenye Grocery ya WP Frola walivamiwa na kupingwa nondo na kuporwa simu aina ya Nokia na Pesa taslmu shilingi 420,000/= mali ya Askali WP Frola ambaye ni mmiliki wa Grocery hiyo, iliyopo Uyole jijini Mbeya.
Wito umetolewa kwa wananchi kujitolea damu kwa ajiji ya kuwanusuru wahanga wa janga la kupingwa nondo ambao wapo katika Wodi namba 1, aidha imebainika kuwepo kwa zaidi ya majeruhi 9 wa matukio kama hayo. Habari picha kwa hisani ya Mbeya Yetu blog |
No comments:
Post a Comment