Tangazo

September 16, 2011

Rais Dk. Kikwete aapisha Wakuu wa Mikoa Ikulu jijini Dar

Makamu wa Rais Dk. Mohamed Gharib Bilal  akiteta  na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda katika sherehe za kuwaapisha wakuu wa mikoa zilizofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Septemba 16,2011. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Rais JakayaKikwete akiteta na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda katika sherehe  za kuwaapisha wakuu wa mikoa zilizofanyika Ikulu Jijini Dar es salaam leo Septemba 16, 2011. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Mkuu wa Mkoa wa Rukwa wa zamani, Daniel Ole Njoolay (kushoto) akiteta na Mkuu wa mkoa huo wa sasa, Stella Manyanya katika sherehe za kuwaapisha wakuu wa mikoa zilizofanyika Ikulu jijini Dar es salaam Septemba leo 16,2011. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Rais Dk. Jakata Kikwete akimwapisha Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Bi. Fatma Mwasa katika hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam leo. Bi. Mwasa kabla ya uteuzi alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Mvomero mkoani Morogoro. Kulia wa Rais ni Katibu Mkuu Kiongozi, Philemon Luhanjo.

No comments: